Wednesday, July 2, 2014

Dk. Rehema Nchimbi afungua mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa,Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha  Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo.

Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani).

Sehemu ya Washiriki wa mkutano wa Wakuuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini wakipewa utaratibu wa siku ya kwanza.

Picha ya pamoja na waratibu wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa; Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. George D. Yambesi (watatu kutoka kushoto), akiwa na mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchini (wanne kutoka kushoto), na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa tano kushoto). 


No comments:

Post a Comment