Monday, September 22, 2014

TANZANIA AUSTRALIA ALUMNI ASSOCIATION YAZINDULIWA

 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akifungua mkutano wa walionufaika na ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi na Shahada za Uzamili nchini Australia yanayofadhiliwa na Serikali ya Australia, jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Pili wa Ubalozi wa Australia nchini Kenya Bi.Katherine  Parkison akizungumza  na wanachama wa Tanzania Australia Alumni Association wakati wa mkutano wao uliofanyika, jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa muda wa Tanzania Australia Alumni Association Bw.Francis Mhimbira (kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari malengo ya chama hicho baada ya mkutano wao uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya walionufaika na ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi na Shahada za Uzamili nchini Australia yanayotolewa na Serikali ya Australia wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi. Roxana Kijazi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa chama chao cha Tanzania Australia Alumni Association (TAAA) uliofanyika Serena Hotel.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-Utumishi Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano wa walionufaika na ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi na Shahada za Uzamili nchini Australia yanayofadhiliwa na Serikali ya Australia  uliofanyika jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment