Sunday, October 5, 2014

UTUMISHI BINGWA MBIO ZA BAISKELI SHIMIWI
Mwenyekiti wa SHIMIWI Taifa Bw.Daniel Mwalusamba (wa pili kutoka kulia)  akimvisha medali ya dhahabu mshindi wa kwanza wa mbio za baiskeli kwa wanaume kutoka  Utumishi, Hassan Ligoneko (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa mbio hizo mjini Morogoro leo. Wengine ni viongozi wa SHIMIWI Taifa wakishuhudia.

Mshiriki wa mbio za baiskeli kwa upande wa wanaume za SHIMIWI kutoka Utumishi Hassan Ligoneko akiwasili kituo cha mwisho cha mbio hizo cha Lake Oil kutoka kituo cha njia panda ya Mkata mjini Morogoro leo.

No comments:

Post a Comment