Friday, January 16, 2015

Utumishi yasaini mikataba Saba ya Mtandao wa Mawasiliano wa Serikali (GOVNET), Awamu ya PiliKatibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi (kulia)akiwakabidhi mkataba wawakilishi wa kampuni zilizoshinda zabuni.
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Serikali Mtandao (eGA) Dr. Jabiri Kuwe Bakari (kulia)akikabidhiwa mkataba na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi katika kikao.
Baadhi ya washiriki  wa kikao hicho wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D. Yambesi  akitoa maelekezo kuhusu lengo la serikali kuleta huduma bora kwa Wananchi kupitia mtandao wa Mawasiliano wa Serikali (GOVNET).

No comments:

Post a Comment