Sunday, May 17, 2015

KOMBANI AITISHA KIKAO NA WATENDAJI WA OFISI YAKE MJINI DODOMA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiongea na watendaji kutoka Ofisi ya Rais katika ukumbi wa Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu-Dodoma kabla ya kuwasilisha bajeti Bungeni siku ya Jumatatu, Mei 18/2015

Watendaji kutoka Taasisi zilizo Ofisi ya Rais wakipitia maelezo ya Bajeti ya mwaka 2015/2016.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Ikulu Bw.Peter Alanambula Ilomo (wa kwanza kushoto), pamoja na watendaji wengine wakiwa katika kikao cha matayarisho ya kuwasilisha bajeti Bungeni wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) hayupo pichani.

Kaimu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akitoa maelekezo katika kikao cha kujiandaa kuwasilisha Bajeti ya Ofisi ya Rais kilichofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu - Dodoma.

No comments:

Post a Comment