Monday, May 4, 2015

UTUMISHI YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakiimba wimbo wa mshikamano katika maadhimisho ya Siku ya Mfanyakazi Duniani Meimosi, 2015 yaliyofanyika kimkoa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment