Friday, July 10, 2015

MKUTANO WA 12 WA WAKUU WA UTUMISHI WA UMMA WA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA KUFANYIKA JULAI 13

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika mwaka 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. Florence Temba na Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais - Utumishi Bi. Roxana Kijazi (kulia).

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Utumishi Bw. HAB Mkwizu akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 12 wa Wakuu wa Utumishi wa Umma wa Jumuiya ya Madola Barani Afrika mwaka 2015 katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais - Utumishi Bi. Roxana Kijazi (kulia) na Mratibu wa Mafunzo, Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson Mwanyika.

No comments:

Post a Comment