Sunday, December 6, 2015

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi apata Tuzo kutoka kwa Jumuisho la Watendaji Wakuu , CEOrt

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda akitoa hotuba katika kusanyiko la mwaka la CEOrt

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba (kulia)  baada ya kupata Tuzo ya Mdau wa Mwaka katika Sekta ya Umma 2015
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Tixon Nzunda (kulia) akipokea tuzo ya Mdau wa Mwaka katika Sekta ya Umma kutoka kwa Mwenyekiti wa CEOrt Bw. Ali Mafuruki.

       Mwenyekiti wa CEOrt Bw. Ali Mufuruki akitoa hotuba katika kusanyiko la mwaka la Watendaji Wakuu katika hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro- jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment