Tuesday, December 1, 2015

Ofisi ya Rais-Utumishi yaendelea na vikao kazi kwa njia ya video (video conference)

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. HAB Mkwizu (picha ndogo kulia) akiongoza kikao kazi kwa njia ya video kilichohusisha Ofisi ya Rais-Utumishi, Wizara ya Fedha, TAMISEMI pamoja na ofisi za Sekretarieti za mikoa ya Singida, Pwani, Mtwara, Dodoma, Iringa, Njombe, Mara, Shinyanga, Lindi na Geita.
Kikao kazi kwa njia ya video (video conference) kikiendelea.
Maafisa kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi wakishiriki kikao kazi kwa njia ya video (video conference) mapema leo.

Mkurugenzi Msaidizi wa Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Peter Mushi (wa pili kutoka kushoto) akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi kwa njia ya video (video conference) kilichofanyika mapema leo. Wengine ni Maafisa kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi.
Baadhi ya Maafisa kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi wakifuatilia kikao kazi kwa njia ya video (video conference) kilichofanyika mapema leo.

No comments:

Post a Comment