Monday, February 1, 2016

DAWATI LA MSAADA (HELP DESK)


12 comments:

 1. Kuna tatizo kubwa wakati wa kujisajili kwenye portal. Nashindwa kuingia kwenye watumishi portal.

  ReplyDelete
 2. Nimekosea email nataka kubadili ili niweze kujisajili

  ReplyDelete
 3. Nimekosea email nataka kubadili ili niweze kujisajili

  ReplyDelete
 4. kuna tatizo kubwa wakati wa kujisajili kwani sms ya kuhakiki account haijatumwa mpaka sasa. tunaomba msaada wenu kwani ni siku ya saba toka nijisajili.

  ReplyDelete
 5. ALOYCE GALLUS NINDI
  NILIOMBA KUBADILI PASSWORD KIMAKOSA KWANI PASSWORD YANGU NI ILEILE nindi1961 BAADA YA OMBI HILO LA KUBADILI PASSWORD KIMAKOSA KUNA TATIZO KATIKA KUHAKIKI ACCOUNT

  ReplyDelete
 6. Nimeenda kuomba mkopo Benki ya Crdb nimeambiwa kuwa watumishi tulioko kwenye mashirika ya umma majina ya uhakiki hayajapelekwa kwenye taasisi za fedha hivyo hawawezi kunipa mkopo naomba kujua suala hili tunasaidiwaje sisi watumishi

  ReplyDelete
 7. Nimeenda kuomba mkopo Benki ya Crdb nimeambiwa kuwa watumishi tulioko kwenye mashirika ya umma majina ya uhakiki hayajapelekwa kwenye taasisi za fedha hivyo hawawezi kunipa mkopo naomba kujua suala hili tunasaidiwaje sisi watumishi

  ReplyDelete
 8. Asanteni sana Utumishi wa Umma nimepata taarifa kuwa majina ya watumishi walio hakikiwa mmpeleka kwenye taasisi za fedha

  ReplyDelete
 9. nimejisali lakini wananambia mmenitumia email kwa barau pepe angu lakini sijapata hadi sasaa

  ReplyDelete
 10. Nimejisajili utumishi portal lakini nikijaribu kuingia kunaujumbe unaniambia ni hakiki kwakubofya kitufe kwenye barua pepe.sion huo ujumbe. Msaada ktk hili.

  ReplyDelete
 11. Nimejisajili ila usajili wangu haujakamilika kwakuwa niliambiwa nitatumiwa no kwenye email yangu ili nikamilishe usajili, cha kushangaza hadi leo sijatumiwa hizo no wala sms yoyote kwenye email yangu, hivyo imepelekea kushindwa kuingia na kupata huduma. Wahusika Naomba msaada wenu

  ReplyDelete
 12. Nimejisajili kwenye huduma hii ya watumishi portal ila usajili wangu haukukamilika kwasababu niliambiwa nitatumiwa namba kwenye email yangu ili niziingize nikamilishe usajili. Cha kustaajabisha ni kwamba tangu mwanzoni mwa mwez huu July hadi sasa cjatumiwa Hiyo namba na cwez kuingia kupata huduma. Wahusika nisaidieni kwa hilo.

  ReplyDelete