Friday, March 18, 2016

Balozi wa China Nchini Tanzania akutana na Mhe. Kairuki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akisisitiza jambo wakati wa maongezi na Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing  (wa pili kutoka kulia) alipomtembelea  ofisini kwake mapema leo. 
Ujumbe kutoka ubalozi wa China nchini ukimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (hayupo pichani) ulipotembelea ofisini kwake mapema leo.

Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (wa pili kutoka kulia) akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) alipomtembelea ofisini kwake mapema leo.

Mwakilishi Mkazi Mwandamizi kutoka Kitengo cha Uchumi na Biashara, Ubalozi wa China nchini Tanzania Bw. Lin Zhiyong (wa pili kutoka kushoto) akizungumza baada ya kikao kati ya Ujumbe kutoka ubalozi wa China nchini na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) kilichofanyika ofisi za Utumishi mapema leo.

No comments:

Post a Comment