Wednesday, March 9, 2016

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MAADILI YA UTENDAJI KAZI KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Mkurugenzi wa Idara ya Ukuzaji Maadili, Ofisi ya Rais -Utumishi Bw. Mathew Kirama akiongea na washiriki, hawapo pichani, kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma.

Sehemu ya watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakiwa katika mafunzo kuhusu Maadili. 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Daudi Xavier, kulia, akiongea na watumishi wa sekretarieti kabla ya mafunzo kuhusu Maadili ya Utendaji katika Utumishi wa Umma.


No comments:

Post a Comment