Friday, March 18, 2016

Ujumbe kutoka Shirika la misaada la Uingereza DFID wamtembelea Mhe. Kairuki

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na ujumbe kutoka Shirika la misaada la Uingereza DFID ulipomtembelea ofisini kwake mapema leo.

No comments:

Post a Comment