Monday, April 11, 2016

Mhe. Kairuki afungua Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) mjini Dodoma


Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza wakati wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.


Sehemu ya washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (Mb), (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.

 
Mmoja wa washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Tabora Bibi. Sipora J. Liana akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.Mmoja wa washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) akiuliza swali wakati wa mafunzo yaliyofanyika mjini Dodoma.


Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mh. Angellah Kairuki (Mb) akifungua Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania yaliyofanyika mjini Dodoma.


Sehemu ya washiriki wa Mafunzo kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) wakimsikiliza mgeni rasmi Mh. Angellah Kairuki (Mb), (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo –Dodoma.

No comments:

Post a Comment