Saturday, April 23, 2016

Mhe. Kairuki afungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi leo

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kufungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Dkt.  Ndumbaro ni Mwenyekiti wa Baraza hilo.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua  mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto) akifunga mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma uliofanyika katika  Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.

No comments:

Post a Comment