Friday, May 13, 2016

Taasisi za Umma zatakiwa kutekeleza mwongozo wa beji za Watumishi na utaratibu wa kununua samani

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Florence Temba (katikati)  akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano uliofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo. 
Waandishi wa habari wakifuatilia mada. 
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa  Kazi  Bw. Micky Kiliba (kushoto) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa  Kazi  Bi. Veila Shoo (kulia) akijibu maswali ya waandishi wa habari kwenye kikao kilichofanyika Idara ya Habari - MAELEZO mapema leo.


No comments:

Post a Comment