Thursday, August 4, 2016

UTUMISHI YATOA MAFUNZO YA KANZI DATA YA FOMU ZA SERIKALI

Mkurugenzi wa Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi, Bw. Mick Kiliba akizungumza na washiriki wa Mafunzo ya Kanzi data ya Fomu za Serikali kutoka wizara mbalimbali, wakati akifungua mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Mifumo na Viwango vya Utendaji Kazi kutoka Ofisi ya Rais - Utumishi, Bi. Veila Shoo akifafanua jambo wakati akiwasilisha mada kwenye Mafunzo ya Kanzi data ya Fomu za Serikali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

Baadhi ya washiriki wa Mafunzo ya Kanzi data ya Fomu za Serikali kutoka wizara mbalimbali, wakimsikiliza muwasilishaji mada (hayupo pichani) kwenye mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment