Tuesday, October 11, 2016

UHAKIKI WA WATUMISHI WA UMMA KUONYESHA MAHITAJI HALISI YA RASILIMALIWATU SERIKALINI

TUNATEKELEZA: Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto) Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) wakiwa katika majadiliano kuhusu Utumishi wa Umma nchini.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) akichangia hoja kuhusu uwajibikaji ndani ya Utumishi wa Umma wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kilichoandaliwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Wanaomsikiliza ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto).

No comments:

Post a Comment