Wednesday, November 2, 2016

SERIKALI YABADILISHANA UZOEFU WA MASUALA YA KIUTUMISHI NA UJUMBE WA BUNGE LA FINLAND

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) akiagana na Balozi wa Finland nchini Tanzania Bw. Pekka Hukka  baada ya ujumbe kutoka Bunge la Finland kutembelea Ofisi ya Rais-Utumishi.Wanaoshuhudia ni wabunge wa bunge la Finland na maofisa wa Ofisi ya Rais-Utumishi. 
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi kwa ujumbe kutoka Bunge la Finland uliotembelea ofisi yake kujifunza masuala mbalimbali ya kiutumishi.Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi  akisisitiza jambo wakati wa kikao kati yake na ujumbe kutoka Bunge la Finland uliotembelea ofisi yake kujifunza masuala mbalimbali ya kiutumishi.

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kushoto) akibadilishana uzoefu na ujumbe kutoka Bunge la Finland uliotembelea ofisi yake kujifunza masuala mbalimbali ya kiutumishi.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Bunge la Finland uliotembelea ofisi yake kujifunza masuala mbalimbali ya kiutumishi. Kushoto mstari wa mbele ni Balozi wa Finland nchini Tanzania Bw. Pekka Hukka.  No comments:

Post a Comment