Monday, November 28, 2016

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA KOMPUTA 205 TOKA KAMPUNI YA BAYPORT TANZANIA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Bayport Tanzania Bw. John Mbaga (kushoto) wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na Bayport Tanzania  

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na kampuni ya Bayport Tanzania 

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na kampuni ya Bayport Tanzania, iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na Kampuni ya Bayport Tanzania, wakati wa hafla ya kukabidhi kompyuta hizo iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya moja na wajumbe  kutoka  Kampuni ya Bayport Tanzania na maofisa wa Ofisi yake mara baada ya kupokea msaada wa kompyuta 205 .Kulia kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro.

No comments:

Post a Comment