Sunday, December 4, 2016

KATIBU MKUU KIONGOZI ASHIRIKI MATEMBEZI YA HIARI YA WATUMISHI WA TAASISI ZINAZOSIMAMIA MAADILI, UWAJIBIKAJI, UTAWALA BORA, HAKI ZA BINADAMU NA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA IKIWA NI SEHEMU YA KAMPENI YA KITAIFAKatibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akiwa katika matembezi ya hiari ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili, uwajibikaji, utawala bora, haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.Baadhi ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora,haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa nchini wakiwa katika matembezi ya hiari ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akihitimisha matembezi ya hiari ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora,haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja - Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.


Baadhi ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora,haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa nchini wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akihitimisha matembezi ya hiari ya watumishi hao katika viwanja vya Mnazi Mmoja - Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akiwa katika picha ya pamoja na watoto waliojumuika na watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora, haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa katika matembezi ya hiari ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John W. H Kijazi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora waliohudhuria katika matembezi ya hiari ya watumishi wa taasisi zinazosimamia maadili,uwajibikaji,utawala bora, haki za binadamu na mapambano dhidi ya rushwa ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa. 

No comments:

Post a Comment