Saturday, November 11, 2017

UFAFANUZI WA SERIKALI KUHUSU HATMA YA WALIMU WA LESENI (TARAJALI)

WALIMU WA LESENI WALIOKIUKA MASHARTI YA MKATABA WA LESENI HAWATATAMBULIKA SERIKALINI KWA MUJIBU WA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA UTUMISHI WA UMMAKatibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (kulia) akibadilishana uzoefu wa masuala ya kiutumishi na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Bw. Juma Homera (kushoto)  mara baada ya kuwasili wilayani Tunduru katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akifafanua suala la kiutumishi kwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Bw. Juma Homera wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Baadhi ya watumishi wa Hamashauri ya Wilaya ya Tunduru wakisikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akifafanua masuala mbalimbali ya kiutumishi katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Friday, November 10, 2017

DKT. NDUBARO AHIMIZA UPANDISHAJI VYEO SERIKALINI UZINGATIE UTENDAJI KAZIKatibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Baadhi ya watumishi wa Hamashauri ya Wilaya ya Nyasa wakisikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) akiwa katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mara baada ya kuwasili katika Halmashauri hiyo katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.

Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma, Bw. Hassan Bendeyeko akitoa taarifa ya utekelezaji wa masuala ya kiutumishi kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro aliyewasili mkoani humo kwa ziara yake ya  kikazi ya siku tano.

Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bi. Luckness Adrian Amlima akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa masuala ya kiutumishi kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro aliyewasili katika wilaya hiyo kwa ajili ya ziara yake ya kikazi.

Baadhi ya watumishi wa Hamashauri ya Wilaya ya Songea wakisikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akifafanua masuala mbalimbali ya kiutumishi  katika ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji mkoani Ruvuma.