Tuesday, June 13, 2017

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menajimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu  Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni ,2017 . Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menajimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angellah J. Kairuki (Mb) akifafanua jambo kwa Waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu  Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni ,2017 . Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi.


 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menajimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora Mhe.Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika mkutano na waandishi wa Habari leo mjini Dodoma kuzungumzia Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2017.
No comments:

Post a Comment