Wednesday, June 21, 2017

UTUMISHI YAWAAGA WATAALAM 14 WA KUJITOLEA KUTOKA NCHINI JAPAN WALIOKUJA KUTOA HUDUMA KATIKA MAENEO MBALIMBALI NCHINI

Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bw.Hiroki TAMURA akielezea namna alivyofanya kazi katika Chuo cha Utalii Zanzibar, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI.

Mtaalam wa Kujitolea kutoka nchini Japani Bi. Moemi Ikeda akielezea namna alivyofanya kazi katika Shule ya Msingi Lusanga-Morogoro, katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI 
Mwakilishi kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Fundikira Ekerege (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya elimu yaliyowasilishwa katika hafla fupi ya kuwaaga wataalam wa kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI


Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bi. MIDORI MIYAZAKI aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHI. 
Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (kushoto) akikabidhi zawadi kwa Mtaalam wa kujitolea kutoka nchini Japan Bw. Shota Yanagisawa aliyemaliza muda wake wa kutoa huduma nchini katika hafla ya kuwaaga wataalam hao iliyofanyika ukumbi wa UTUMISHIMkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bi.Roxana Kijazi (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wataalam wa Kujitolea kutoka nchini Japan waliomaliza muda wao wa kutoa huduma nchini baada ya hafla ya kuwaaga iliyofanyika UTUMISHI.

No comments:

Post a Comment