Wednesday, June 21, 2017

WIKI YA UTUMISHI WA UMMA - TUME YA UTUMISHI WA UMMA,UBUNGO PLAZA


Bibi, Evalyne Omari (Kulia) Katibu Msaidizi, Tume ya Utumishi wa Umma akitoa ufafanuzi kwa mteja aliyefika ghorofa ya 7, Ubungo Plaza kupata huduma kutoka Tume ya utumishi wa Umma, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

Bwana levis Khamsini (Kulia) akitoa ufafanuzi kwa mteja aliyefika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza- Ghorofa ya 7, kupata elimu kuhusu Tume ya Utumishi wa Umma, (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Tume ya Utumishi wa Umma).No comments:

Post a Comment